ad

ad

JERRY SILAA: NATAKA TUMSOMESHE DOREEN KABUCHE MASTERS ILI KUPATA WATAALAM

Meya wa manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Silaa asubuhi ya leo alipatwa ugeni ofisini kwake kutoka kwa Doreen Kabuche ambae ni mwanafunzi pekee kwa mwaka huu aliyekuwa best student udsm kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu Ya takwimu bima.
Mhe. Jerry & Doreen Kabucha_9 
Mhe. Jerry Silaa amewaambia waandishi wa habari kuwa, mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita Benjamin Mkapa na kuwa best female student  walimuita na akamzawadia laptop yenye thamani ya shilingi Milioni moja na nusu…
Mhe. Jerry & Doreen Kabucha_7
“Mwaka huu amekuwa best student udsm kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu Ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam wataoangalia mifuko yetu ya pension. Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam” alisema Mhe. Jerry
Mhe. Jerry & Doreen Kabucha_12

No comments

Powered by Blogger.