ad

ad

IMEBAIKINA! KILA MECHI, FALCAO LAZIMA AWEKE BARAFU KWENYE GOTI

Imebainika mshambuliaji Radamel Falcao wa Man United analazimika kuweka barafu kwenye goti lake la kushoto kila baada ya kuichezea timu hiyo.

Hali hiyo imezua hofu kuwa licha ya United kumlipa pauni 220,000 kila wiki, mshambuliaji huyo hayuko fiti kiuhakika.
TAKWIMU:
Mechi: 5
Alizoanza: 3
Alizomaliza: 0 
Dakika alizocheza: 251 
Bao: 1

No comments

Powered by Blogger.