Msanii wa Bongo Fleva, Steve RnB baada ya kufunga ndoa na Naimana Kuyangana juzi Jumamosi, Oktoba 11, mwaka huu.
Mke wa Steve, Naimana Kuyangana.
Msanii wa Bongo Fleva, Steve RnB juzi Jumamosi Oktoba 11, mwaka huu
aliukacha ukapera kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi,
Naimana Kuyangana.
Post a Comment