ad

ad

SINTAHA AMPA MAKAVU LIVE MISS TANZANIA 2014

 
Miss Tanzania 2014: Decoration 100% okay
Stage Performance:20% 
Miss 2014 :Sitti Mtemvu ???? (nakuachia wewe)

Wanne Star ameboa watu, shindano la Miss Tanzania unafundisha music za ki Nigeria???

Hivi unafikiri kwanini watu wengi sana 90% hawamkubali Miss Tanzania 2014??? 

Ila Lundenga safari hii kaamua yake, yaani katukomesha kweli kweliiii tunasema havache 

je hundi imetolewa ya 10 mil na 8 jeeee?? kwakuwa hundi  si cash kwanini wasingemalizana hapo hapo mtoto wa watu akaenda ku deposit baada ya 2 days akapa chake?? kuna ulakini 

 Toa maoni yako kuhusiana na shindano hili, mshindi, na Team nzima ya Miss Tanzania

No comments

Powered by Blogger.