MATUKIO YA REDDS MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY DAR

Pichani
ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika
shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya
ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar.
Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali
Msanii
wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza jukwaani akiwa na Vanessa Mdee
mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani),waliofika kushuhudia shindano
hilo.
Msanii
wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee 'V-Money' akitumbuiza kwenye shindano la
kumsaka mshindi wa Redds Miss Tanzania 2014,yanayofanyika usiku huu
ndani ya moja ya ukumbi wa Mlimani, jijini Dar.
Baadahi ya Wageni waalikwa wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye shindano hilo la kumsaka Kinara wa Redds Miss Tanzania 2014
Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakicheza moja ya
onesho lao la ufunguzi wa shindano hilo,ambapo mshindi atatangazwa usiku
huu na kujinyakulia kiasi cha shilingi miloni 18 taslim.



Post a Comment