Mzee Yusuf akiwapa raha mashabiki wake waliofurika Dar Live katika uzinduzi wa Yamoto Band. Mashabiki wa Mzee Yusuf wakiwa wamepagawa na burudani ndani ya Dar Live. Mzee Yusuf na vijana wake wakifanya yao stejini. Mashabiki wa Mzee Yusuf wakishow love.
Post a Comment