STUDIO MPYA YA SHEDDY CLEVER IMEHAMIA SINZA
Mwanzoni mwa mwezi wa sita mwaka huu producer Sheddy Clever alitangaza
kuweka vifaa vya studio sokoni na kusema kuwa anampango wa kuingiza
vifaa vipya kwaajili ya studio mpya. July 22 2014 Sheddy Clever
amefanikiwa kuhamishia studio yake ya Burn Records maeneo ya Sinza
nyuma, Mkabala na mlimani city kwenye round about ya kanisa la kakobe
jirani tu na bar ya Katarunya.
PICHA ZOTE NA Sammisago.com

Post a Comment