PICHA ZA BOB JONIOR AKIWA GLOBAL TV ONLINE JIONI
Msanii wa muziki na producer, Bob Junior akifanya mahojiano na Global TV Online jioni hii.
Msanii wa muziki na producer, Bob Junior akifanya mahojiano na Global TV Online jioni hii.
Bob Junior akiwa katika pozi 'bab kubwa'.
Mtangazaji wa Global TV Online na msanii wa Bongo Fleva, Pamela Daffa (kushoto) akiwa Bob Junior.
Bob Junior akifafanua yake.
Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist (kushoto) wakipozi na Bob Junior.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kushoto), wakipozi na Bob Junior.
(PICHA NA JONATHAN KITUNDU/GLOBAL TV ONLINE)
Post a Comment