MAHAKAMA YAAMURU KABURI LA MUME KUFUKULIWA
Wachimabji
wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro
wakifukua Kaburi la Marehemu Stephen Assey jioni ya jana kwa amri ya
mahakama.
Msalaba uliokuwepo kwenye Kaburi hilo ukiwa pembeni.
Askari Polisi wakisimamia zoezi la ufukuaji wa Kaburi hilo.
Uamuzi
wa kufukuliwa kwa kaburi hilo umefikiwa baada ya mke anayedaiwa kuwa ni
wa ndoa wa marehemu Stephen Assey, Bi. Lucy Laurant kwenda mahakamani
kuweka zuio la kuzikwa kwa marehemu katika eneo ilipo nyumba aliyokuwa
akiishi na mke mdogo aliyefahamika kwa jina la Fortinata Lyimo.Kutokana na hali hiyo mahakama ya Hakimu mkazi Moshi iliamuru kufukuliwa kwa kaburi na mwili kuhifadhiwa hosptali hadi pale uamuzi wa mwisho utakapofanywa na mahakama hiyo.



Post a Comment