ad

ad

HIVI NDIVYO SHILOLE NA LINAH WALIVYOTUA MUSOMA



Msanii Shilole anayetamba na wimbo wake "Namchukua" na Msanii Lianah anayebamba na wimbo wake wa "Oletembah" tayari wameshatua Musoma tayari kwa kuwasugulisha gaga wakazi wa maeneo hayo kwenye uwanja wa Karume

No comments

Powered by Blogger.