DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA ELIMU BILA MALIPO AMAAN ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na
Walimu na Wanafunzi katika Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo
zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi kombe
Msaidizi Afisa Elimu Mkoa wa Kaskazini Unguja Maulid Nafasi Juma wakati
wa Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.
Baadhi ya Viongozi
waliohudhuria katika sherehe za miaka 50 ya Elimu bila Malipo
zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium na mgeni rasmi alikuwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya walimu
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Walimu,
Wazee,Wanafunzi katika sherehe za kilele cha miaka 50 ya Elimu bila
Malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar.
Wanafunzi wenye ulemavu
tofauti wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa maandano wakati wa sherehe
za miaka 50 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika katika uwanja wa amaan
Studium.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono
wanafunzi waliopita mbele ya jukwaa la viongozi katika uwanja wa Amaan
Studium Mjini Zanzibar wakati wa sherehe za kilele cha miaka 50 ya Elimu
bila Malipo zilizofanyika leo.
Walimu na Wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Taifa SUZA wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa
maandamo ya kusherehekea kilele cha miaka 50 ya Elimu bila malipo
ilizofanyika katika uwanja wa amaan Studium.
Wanafunzi wa Chuo cha
Ufundi JKU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea
maandamano ya wanafunzi wa skuli mbali mbali za Unguja na Pemba katika
sherehe za miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika
uwanja wa Amaan Studium leo.
Wanafunzi wa Skuli ya
wanawake ya Al- Ihsaan ya Magogoni Jitmai wakipita mbele ya mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akipokea maandamano ya wanafunzi wa skuli mbali mbali za
Unguja na Pemba katika sherehe za miaka 50 ya Elimu bila malipo
zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Amaan Studium leo.

Baadhi ya wanafunzi wa
Skuli mbli mbli za Sekondari wakiwa katika jukwaa wakati wa sherehe za
Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa
Amaan Studium Mjini Unguja leo.
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]










Post a Comment