AJALI MBAYA YATOKEA GAIRO
Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.
Raia wakijaribu kuokoa maisha ya abiria waliopata ajali.
Miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Watu zaidi ya wanne wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya basi la
Air Bus lililopinduka eneo la Kiegeya, Gairo mkoani Dodoma mchana huu.
Jitihada za kuokoa maisha ya abiria zinaendelea.
.jpg)
Post a Comment