ad

ad

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa Yanga.
Mwigulu Nchemba akiwarushia skafu yake mashabiki wa Yanga.
Ridhiwan Kikwete akishangilia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba.
Hekaheka wakati wa mtanange huo.
Mashabiki wakifuatilia mtanange huo.
Timu zikiingia uwanjani.

Ridhiwan akiwapa hi mashabiki.

Waamuzi wakiingia uwanjani.

Kikosi cha Yanga kilichokwaana na Simba na kuibuka na ushindi wa 3-2.

Kikosi cha Simba kilichopigwa 3-2 na Yanga.
Mwamuzi Othman Kazi akiongea na manahodha wa Yanga na Simba (Wabunge).

No comments

Powered by Blogger.