VITILIVYOGO (PAPA NA MUHOGO) - 09
Stella naye alikuwa na shoga yake wakipiga stori huku wakimuangalia Shaka kwa wizi.
“Shoga ni kweli Shaka ndiye aliyekufanya vile?” Diana alitaka kupata uhakika kwani bado hakuamini.
“Diana mi na wewe hatufichani kitu, kijana yule koma.”
“Lakini mbona haendani na yaliyokukuta?”
“Shaka ni mdogo wa umbo lakini anawazidi watu wazima. Tena kuanzia sasa hivi sitaki kumuona mvimba macho yeyote ana msogelea.”
“Sasa wasiwasi wako nini, wakati shuleni wewe ndiye unayemmiliki?”
“Inawezekana eeh!” Stella aliliwa akili na shoga yake.
“Ondoa wasiwasi mgomba wa Shaka ni wako jilie ndizi zako kwa raha zako.”
“Yaani maneno yako yameupoza moyo wangu.”
“Pamoja na kukuamini kidogo, bado siamini kwa asilimia mia kuwa Shaka umemvulia nguo na kuweza kukuliza chozi la chini.”
“Narudia mapenzi yangekuwa karanga ningekupa uonje, kwa wewe ninavyokujua ungemaliza kapu zima.”
Muda wa mapumziko ulipofika Stella hakumpa nafasi Shaka alikuwa kama polisi na kibaka hakutaka siku ile msichana yeyote ajipendekeze kwake.
Ile ilimpa wakati mgumu sana Diana kukaribiana na Shaka. Ilibidi awe mpole japokuwa aliahidiwa kuipata haki yake siku ile.
Mpaka muda wa kwenda nyumbani Diana alikula za uso baada ya shoga yake kukaba mpaka penalti. Aliamini kabisa kama angelazimisha kumsemesha Shaka shuleni shoga yake Stella akiona anaweza kumuwekea uhasama usio na kichwa wala miguu.
Kwa vile ilikuwa mwisho wa wiki alipanga kumfuata Shaka nyumbani kwao ili aweze kupanga mambo yake vizuri tofauti na shuleni ambapo shoga yake Stella alikaba kila kona.
Alipanga akimpata aitumie nafasi ile ikiwezekana kila kitu kifanyike siku ile.
Siku ya Jumamosi majira ya saa nne asubuhi, Diana alikwenda nyumbani kwao Shaka katika vazi la nyumbani.
Alisimama karibu na nyumba ya akina Shaka, akiwa bado hajajua afanye nini alimuona akienda dukani.
“Shaka,” alimwita kwa sauti ya chini.
Shaka alipogeuza shingo alimuona Diana alishtuka na kulitamka jina lake kwa sauti.
“Aah! Diana!”
“Shaka njooo.”
Shaka alichepua mwendo hadi kwa Diana. Ili kuwa siku nzuri kwake kwa vile Betty alikuwa amekwenda mjini.
“Vipi leo upo kwetu?” Shaka aliuliza.
“Ndiyo.”
“Karibu kwetu.”
”Hapana nilikuwa napita tu.”
“Ngoja basi nikachukue mkate nimetumwa kisha nikusindikize, si unajua raha ya mgeni kumsindikiza.”
“Fanya haraka basi.”
Shaka alikimbia mpaka dukani na kununua mkate baada ya kuupeleka ndani alitoka kumsindikiza Diana.
“Vipi umewasiliana na Stella?” Diana alimdodosa.
“Niliwasiliana naye jana.”
“Alikwambia nini?”
“Siri yetu, kwani vipi?”
”Amenituma nikufuate.”
“Mbona jana hakuniambia atakutuma?”
“Mi najua wapi, kama ulivyosema ni siri yenu.”
“Mmh! Unipeleke wapi?”
“Wee twende utapajua tu.”
“Ngoja nikaage ndani.”
“Shaka urudi sasa hivi.”
Wakati huo Diana alikuwa akisimamisha teksi, kutokana na mapenzi ya dhati kwa Stella, Shaka hakubisha aliongozana na Diana. Waliteremka nje ya hoteli moja na kupitia kwa nyuma.
“Shaka nisubiri hapa.”
“Hakuna tatizo.”
Shaka alikubali bila kujua kinachoendelea,
Diana aliingia ndani ili akachukue chumba ili kwenda kuthibitisha uwezo wa Shaka uliomfanya shoga yake ashindwe kwenda shule.
Alikuwa ameishamsindikiza kwa bwana yake mara nyingi ambaye alikuja kutia mkono kwenye asali ya shoga yake kwa kumzunguka kama alivyotaka kufanya siku ile kwa Shaka.
Lakini hakuwahi kumuona kashindwa kwenda shule, lakini kipigo cha pweza toka kwa Shaka kilimchanganya na kutaka naye kuonja.
“Diana fanya haraka,” Shaka alisema huku akiwa na wasiwasi na sehemu zile.
Diana aliingia ndani ya hoteli na kuchukua chumba, baada ya kuchukua alimfuata Shaka na kwenda naye hadi ndani ya chumba, baada ya kuingia alitegemea kumuona Stella.
Diana alitoka na kurudi na vinywaji, wakiwa wanakunywa taratibu Diana aliamua kuusema ukweli.
“Shaka hapa hukuitwa na Stella.”
“Kama sikuitwa na Stella nani kaniita?”
“Mimi, Shaka umekuwa ukinirusha kila tukipanga. Jana uliniahidi kunipa haki yangu lakini imepita kavu. Kwa hali niliyoiona jana kwa Stella kukuganda kama ruba niliamini kabisa bila kutumia ukomandoo huu, nitakufaidi kwa macho wakati mwenzangu anakula raha kwa vitendo.”
“Kwa hiyo Stella hayupo?”
“Hayupo na chumba hiki nimechukua mimi.”
“Mmh! Mimi niseme nini, Stella akijua itakuwaje, maana mapenzi kikohozi?”
“Atajua vipi na hapa tupo wawili.”
“Na mapenzi yangu na Stella?”
“Nyie endelee, mi siku mojamoja tena kwa siri kubwa.”
”Mmh! Sawa.”
“Basi tukaoge.”
Shaka na Diana walikwenda kuoga, wakiwa bafuni Diana alianza kuona makeke ya Shaka kwa kuanza kumgusa hapa na pale kama mpiga kinanda, kitu kilichomfanya Diana kuwa katika wakati mgumu na kujikuta akilia chozi kavu bila msiba.
“Shaka..Shaka umeyajulia wapi haya?”
Diana hakuamini Shaka kuweza kufanya vitu adimu kama vile kwa kuweza kuingia ikulu na kutoka bila kufanya madhara.
Shaka hakujibu aliendelea kumtia ndimu kiasi cha Diana kuomba mchezo nje ya uwanja kabla ya kuiingia uwanjani. Shaka kama kawaida alianza kutoa burudani bafuni na kumpagawisha Diana.
“Sikubali Shaka twende kizimbani ukanihukumu lazima nifungwe miaka mingi nimekukosea,” Diana alitapatapa kama kuku anayetaka kutaga, baada ya kujaa mpaka pomoni.
Walihamia kitandani, Diana alisahau mamba ana nguvu kwenye maji mafupi. Kwa vile tui lilikuwa limekwishachemka walipofika tu mchele ukatiwa. Kazi ikawa kugeuza kwa ufundi ili kutouvuruga badala ya kuwa wali uwe uji wa mchele.
Akitumia vilivyo mafunzo ya Betty, Shaka alitawala mchezo kwa kiasi kikubwa, kila hatua ilimshangaza Diana na kuona kama mtazamaji na si mshindani.
Wakati Diana akishangaa Shaka alikuwa akitumia udhaifu ule kufanya aokote mpira wavuni mara tatu na kumfanya achoke sana. Lakini naye hakuwa nyuma alijua ile si ngoma ya kitoto kama alivyoifikiria. Ilibidi arudi mchezoni na kugangamala ili yasimkute ya shoga yake Stella. Ikawa piga nikupige lakini mwisho Diana aliomba muziki uzimwe kwani alikuwa hoi sana.
Kama kawaida Shaka naye alikuwa hoi alijilaza pembeni ya Diana aliyekuwa akitembeza mikono yake kumtafuta Shaka huku akisema:
”Shaka kumbe unaweza, wacha Stella achanganyikiwe. Kweli huwezi kupima maji kwa kidole unaweza kuzama. Shaka umewazidi wakubwa, unajua kupiga sehemu muhimu leo nimepata haki yangu,” Diana alisema kwa sauti ya kilevi.
Kutokana na kuchoka sana kila dakika alipunguza sauti na kunyamaza kabisa haikupita muda usingizi ulimpitia. Shaka alijiona kidume baada ya kumlaza hoi Diana ambaye alionesha kutaka kubadili sura ya mchezo kwa kuzinduka dakika za majeruhi kiasi cha kumuweka kwenye wakati mgumu.
Lakini pamoja na kuwa na makeke alikuwa mwepesi tofauti na Stella ambaye alichukua muda mrefu kumlaza chini pia hata kumchosha. Kutokana na uzoefu na mafunzo aliyopewa Betty pambano lile lilikuwa la kwanza kuwa jepesi ambalo halikumchosha sana kama alivyokutana na Stella.
Alijipumzisha pembeni ya Diana na kumtazama asiamini kitu gani kinachowafanya wanawake wote kuingia kichwakichwa bila kuyapima maji.
Katika wanawake wote wale Betty ndiye aliyeonesha ya kweli tokea zamani lakini wengine hakujua kipi kilichowavuta kwake kiasi cha kuchanganyikiwa hasa akizingatia katika medani ya mapenzi vitu vingi alikuwa hajui mpaka alipoelekezwa na kuweza kufanya kwa ufasaha. Katika suala la fedha alikuwa mtoto wa mama asiyejiweza zaidi ya kuwezeshwa.
Wasiwasi wake mkubwa ulikuwa kushindwa kusoma na matokeo yake kuhamishia mawazo yake kwa wanawake ambao kila mmoja alikuja kwa wakati anaotaka yeye na kumnyima nafasi ya kujisomea. Wazo lililomjia ni kukataa kufanya mapenzi na wanawake wote heri aendelee na Betty na Stella siku mojamoja kuliko kuwachanganya na kushindwa kupata muda wa kusoma.
Wakati huo muda nao ulikuwa umekwenda sana, hakutaka kujilaza kwa kuhofia kumkuta kama aliyokutana nayo kwa Stella alipojikuta akirudi nyumbani usiku mkubwa kitu ambacho kingeanza kuwatia wasiwasi wazazi wake pia hata kwa mpenzi wake Betty.
Muda wote aliokuwa amejilaza pembeni ya Diana, mwenzake alikuwa amejilaza akionesha si wa kuamka muda ule kutokana na kuonekana amechoka sana.
Ilibidi amuamshe kwa kumwita huku akimtikisa.
“Diana.”
Endelea KU-LIKE Hapa ==>www.facebook.com/2jiachie

Post a Comment