ad

ad

VITILIVYOGO (PAPA NA MUHOGO) - 08

“Wewe nimekupa ishirini kwa kazi gani, mambo yangu na Shaka nakuomba usiyaingilie la sivyo ushoga wetu utakufa,” Stella aligeuka mbogo.
“Basi shoga nisamehe.”
“Kwa hiyo hizo fedha zifike, nikikutana naye nitamuuliza.”
“Nitampa shoga.”
“Basi wahi shule, niite Mona nimwambie dereva akuwahishe shule.”
Edna alitoka nje na kumwita msichana wa kazi na kwenda moja kwa moja chumbani kwa Stella.
“Abee dada.”
“Mwambie Jacob amuwahishe Diana shule.”
“Sawa.”
“Edna shoga yangu tutaonana jioni wacha niendelee kula raha.”
“Hakuna tatizo.”
“Msalimie sana Shaka mwambie nampenda sana,”
“Salamu zimefika,” Edna alijibu huku akiwa na wivu mzito moyoni na kuona vita yake na shoga yake ni kubwa kwa vile Stella alikuwa na uwezo mkubwa wa kifedha lakini yeye ndiye aliyeanza.
Lakini moyoni alishukuru kupata elfu ishirini aliyopewa akichanganya na elfu kumi aliyotoka nayo nyumbani zingeweza kumfanya apoze maumivu ya jana yake kwa kulipia nyumba ya wageni.
 Alipanga elfu hamsini ya Shaka angempa baada ya kumaliza mtifuano na kumueleza amepewa na Stella ili akiulizwa asikatae. 
Edna alipelekwa shule na gari la kina Stella kisha aliingia darasani. Moyoni aliamini ile ndiyo iliyokuwa nafasi yake hivyo alitakiwa kuitumia vizuri.
Alipanga akikutana na Shaka ampe taarifa mapema ili ajue jioni ya siku ile ana shughuli naye pevu.
Wakati wa mapumziko Shaka alishangaa kutomuona mpenzi wake Stella, wazo lake alifikiri labda bado yupo  darasani. Muda wote Diana alikuwa akitafuta njia ya kumpata Shaka ili kumpa ujumbe wake.
Alijikuta akikosa kujiamini kwa kuhangaika kama kuku anayetaka kutaga.
Wazo la haraka alilopanga ni kuandika ujumbe kwenye karatasi ili akampe bila kusema neno bila mtu kujua nini kimeandikwa kwenye karatasi. Aliandika ujumbe mfupi wa haraka na kusogea sehemu Shaka alipokuwa na rafiki zake wakinywa soda.
Kabla hajafika kengele ya kurudi darasani ililia, Diana alichepua mwendo na kumfikia Shaka aliyeshtuka kumuona peke yake.
“Vipi Diana?”
“Safi tu,” Diana alisema huku akinyoosha mkono kama anamsalimia Shaka alipoupokea alikutana na kitu mkononi. Kwa haraka alipokea akiamini ujumbe ule unatoka kwa mpenzi wake Stella.
“Stella Yupo wapi?”
“Anaumwa.”
“Anaumwa! Anaumwa nini?”
“Kwani uliyomfanya jana madogo.”
“Jana nimemfanya nini?”
“Si mwenzio alikula kwa mikono miwili na kujikuta akivimbiwa, si bure lazima Shaka umechanjia.”
“Nini?”
“Nguvu za kiume.”
“Ndiyo nini?”
“Za kuweza kukupa nguvu za kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kuchoka.”
“Diana acha niwahi darasani, watu wanapungua watatuchora.”
“Naomba uelewe ujumbe huo usiniangushe.”
“Siwezi Diana,” Shaka alijibu bila kujua kumeandikwa kitu gani.
“Basi wahi baadaye.”
Shaka aliagana na Diana kila mmoja alikimbilia darasani. Shaka alipofika darasani baada ya kutulia aliufungua ujumbe uliokuwa kwenye karatasi uliokuwa umeandikwa:
Mpenzi baada ya jana kunitesa leo naomba iwe zamu yangu naomba muda wa kutoka unikute ulipotukuta jana na Stella ndiyo nafasi leo.
Shaka alijikuta akitabasamu na kuona mtihani mwingine na kujiuliza atamdanganya vipi Diana ili amuelewe baada ya kuitumia siku ile kwa uhuru mkubwa kutokana na mwenye mali kuwa mgonjwa.
Alikichana kile kikaratasi na kuhamisha mawazo yake kwenye masomo wakati huo mwalimu wa somo la Mathematics  (hesabu) ndiyo kwanza alikuwa akiingia. Alijikuta akijiuliza kumbe shughuli ya jana ilikuwa pevu sana kwa Stella kiasi cha kushindwa kuja shuleni.
Aliamini mwanaume aliyekutana na Betty ni mjuzi sana kiasi cha somo alilopewa  kuwachanganya wanawake na kumuona mtaalamu wa ajabu kumbe na yeye alikopi na kupesti.
 Wazo alilokuwa nalo ni kumdanganya Diana kuwa anatakiwa kuwahi kurudi nyumbani mama yake ana shida naye. 
Alijua ana kesi na Betty baada ya jana kumtafuta na kumkosa. Japokuwa alikuwa na hamu na Diana lakini aliogopa kuendelea kumuudhi mfadhili wake.
Muda ulipofika wa kutoka, Shaka alitoka kama kawaida na kwenda zake sehemu waliyokubaliana kukutana  na Diana, alipofika alifurahi sana na kumueleza:
“Shaka mpenzi nilifikiri huji.”
“Kwa nini nisije?”
“Labda Stella amekukataza.”
“Anikataze kwani anajua chochote juu yetu?”
 “Tuachane na hayo nina imani ujumbe umeuelewa?”
“Ndiyo, lakini?”
“Lakini nini tena mpenzi?”
“Nimeambiwa leo niwahi nyumbani nikitoka shule nisipite popote mpaka nyumbani kuna kitu mama anataka kuniagiza.”
“Jamani si tunakwenda mara moja,”Diana alimbembeleza Shaka.
“Kwa leo utanisamehe,  jana niliambiwa niwahi kurudi Stella alisema tunatoka mara moja lakini tukatoka usiku na kusababisha  nimuudhi sana mama na kunieleza nikirudia basi atanipeleka boarding.”
“Shaka jamani basi kanipe hata mguu wa jini kama huwezi kunipa mbili za mkwezi.”
“Diana  kuwa muelewa,  tuheshimu wazazi naweza kukufurahisha wewe nikaharibu kwetu.”
“Kwa hiyo?” Diana aliuliza.
“Ndiyo hivyo, tufanye kesho.”
“Kesho itakuwaje lazima Stella atakuja.”
“Nimekueleza mimi, kazi hiyo niachie.”
“Lakini hujanitendea haki kabisa,” Diana aliendelea kulalamika.
“Kwa hiyo unataka nimdharau mama yangu kwa ajili yako?”
“Hapana.”
“Kama vipi tunaweza kuacha tu.”
“Kuacha nini?”
”Mimi na wewe kwani mapenzi lazima kama huwaheshimu wazazi wangu.”
“Usifike huko Shaka, nakupenda sana ila toka jana nateseka nilijua leo utapunguza mateso yangu.”
“Diana  hunipendi bali unanitamani.”
“Jamani Shaka mbona umenipania leo kila ninalosema baya, najua tu umeelezwa na Stella uniache.”
“Anieleze anajua nini juu yangu na wewe?”
”Basi wahi nyumbani lakini kesho nakutegemea sana.”
“Umepata, kesho ikifika wewe tu hata ukitaka tulale.”
“Kweli Shaka?”
“Mmh! Nakutania tu, lakini patachimbika bila jembe nitakupa dozi ya mwezi mzima.”
“Nitashukuru ile mbaya.”
“Basi acha niwahi nyumbani.”
“Shaka nina mzigo wako.”
“Mzigo gani tena?”
Diana alimpa elfu hamsini alizopewa na Stella, Shaka alichukua na kushukuru.
“Mwambie asante pia augue pole.”
“Shaka kwani Stella anaumwa?”
“Kama haumwi kwa nini hakuja shule?”
“Si alikula kwa mikono miwili akavimbiwa, Shaka unayajua mapenzi pia una nguvu ya kumfikisha mwanamke.”
“Kama pombe sinywi, sivuti bangi hata hili linishinde?”
“Basi wahi baba usije kesho ukaninyima eti nilikuchelewesha.”
Shaka aliagana na Diana aliyeondoka na ugwadu wake na kujilaumu kumtamani mpenzi wa shoga yake. Lakini aliamini hakukuwa na njia nyingine  kwa kuamini kitamu kula na nduguyo na Stella alikuwa zaidi ya rafiki ndiyo maana siri zao walikuwa hawafichani.
                                      ***
Kwa vile jana yake hakwenda kwa Betty aliamua kuwahi ili asimuudhi tena. Alipofika nyumbani alivua nguo za shule na kwenda kwa Betty. Alimkuta amekaa sebuleni akizungumza na shoga yake huku akitazama video. Alipofika aliwasalimia:
“Shikamoni.”
“Marahaba,” aliitikia shoga yake lakini Betty alibinua midomo na kutazama pembeni.
“Betty si unasalimiwa?” shoga yake alimwambia.
“Achana naye.”
“Kwa nini?”
“Wee Shaka umeshaniona mtoto mwenzako au kwa vile nimekuvulia nguo yangu ya ndani.”
“Nini?”
Shoga yake alishtuka kusikia vile kwa vile Shaka alionekana mdogo kwa Betty, alijiuliza alisikia vizuri au?
“Si ungeniuliza kuliko kunilaumu,” Shaka alijitetea.
“Nikuulize nini, umeshaanza kupendeza unajiona kidume?”
“Yote hayo yametoka wapi, au kwa vile mi mdogo ndio maana unazungumza ukitakacho bila kujua kilichonikuta jana.”
“Kikukute kipi, Shaka mi ni wa kuja kwenu jana usiku zaidi ya mara tano na kunifanya nijikande kwa maji ya moto ili nilale?” Betty alibwabwaja bila kumhofia shoga yake.
“Sasa mimi ningepaa nilipokuwa.”
“Ulikuwa wapi?”
“Jana si tulikwenda kucheza mpira Geza Ulole.”
“Geza Ulole ndiyo wapi?”
“Unavuka Kigamboni mbele ya Mji Mwema,” Shaka alitengeneza uongo unaofanana na ukweli.
“Duh! Mbona mbali, mlikwenda kufanya nini?”
“Tulikwenda kucheza na shule ya kule.”
“Shaka mbona hujawahi kuniambia unacheza mpira?” Betty alibidi alirudi chini.
“Wewee! Mimi ndiye tegemeo la shule naitwa Van Persie wao.”
“Ina maana mmerudi saa ngapi?”
“Saa sita na nusu usiku.”
“Mungu wangu! Hivi hata tungekutana ungeniridhisha?” Betty alitamka bila wasiwasi huku shoga yake akiwa haamini kilichokuwa kikiendelea mbele yake.
“Wee acha, jana nilikuwa hoi ile mbaya, kucheza mpira kulinichosha na foleni la Kigamboni basi taabu kwelikweli,” Shaka alizidi kuweka chachandu kwenye uongo wake.
“Inabidi sasa uachane na mpira kwani jana umenitesa sana mpenzi wangu.”
“Sawa mpenzi siendi tena safari za mbali.”
“Si kwenda mbali bali kuachana kabisa na mpira.”
“Itakuwa ngumu kwa vile mkuu wa shule ananitegemea sana, kama jana tumeshinda goli tatu zote nimefunga mimi.”
“Basi siku ukiwa na mechi unaniambia mapema.”
“Sawa mpenzi.”
Maneno yale Edna shoga yake Betty yalimpita pembeni na kuamini ule ni utani, lakini hakuupenda utani ule wa shoga yake kuzungumza maneno ya mapenzi na mtoto mdogo kama Shaka, mtu aliye sawa na mdogo wake.
Aliona maneno yale ni kichefuchefu kwake na kuamua kuaga.
“Betty acha niende.”
“Mbona haraka si ulitaka kuiona filamu hii?”
“Nimekumbuka kuna kitu nilitakiwa kukifanya, nitarudi baadaye.”
“Poa.”
Betty alishukuru kimoyomoyo shoga yake kuondoka kwani hamu alizokuwa nazo zilikuwa juu na zilitakiwa kushushwa haraka kama dripu kwa mgonjwa wa presha.
Hakukumbuka kumsindikiza shoga yake baada ya kumvuta Shaka na kuanza kula naye denda. Edna alipofika mlangoni alipogeuka alishtuka kumuona shoga yake amezama kwenye mapenzi na mtoto yule mdogo.
Alimuona kama anajidhalilisha kutembea na kijana yule mdogo ambaye aliamini si hadhi yake hasa baada ya kumsikia yeye ndiyo anayemfadhili kwa kila kitu.
Siku zote alimuamini Betty ni moja ya wanawake smati anayejiheshimu pia ana bwana mwenye fedha. Lakini tukio la siku ile ilimshtua na kutaka kujua kulikoni kujidhalilisha kiasi kile.
Alipanga kurudi baadaye na kumpa makavu shoga yake ikiwezekana kuvunja uhusiano ule. Lakini Betty hakuwa na mawazo naye, hisia zake zilikuwa juu.
Alipoona anachelewa alimshika mkono Shaka na kumpeleka chumbani.
“Shaka nataka hasira za jana uzishushe sasa hivi.”
“Hakuna tatizo, nataka goli nilizofunga jana leo nifunge kwako.”
“Si huwa nasikia mtu ukifunga bao tatu unapewa mpira, ulipewa?”
“Mpira wenyewe mmoja wangenipa wangechezea nini?”
“Sasa kwangu ukifunga bao tatu nikupe nini?”
“Nitaondoka na wewe.”
“Haya baba kazi kwako.”
Kwa vile mchicha ulikuwa umekolea nazi mchezo ulianza mara moja huku Shaka akitaka kusahihisha makosa ya jana yake kwa kumpa vitu vipya alivyomfundisha mwenyewe.
Betty naye alitaka kuhakikisha kisima kilichojaa kinakauka maji kwa kupunguzwa na kata ya Shaka. Hukuwepo shetani wako alikuwepo.
Kutokana na kupaniana mpaka wanapumzika kila mmoja alikuwa hoi, kwa Betty kuokota mpira wavuni mara nne na Shaka kuingia wavuni mara tatu ‘hat trick’.
Baada ya piga nikupige Shaka na Betty alijilaza na kupitiwa na usingizi mzito kwa kila mmoja kulala mlalo wa mchoko mzito.
                             ***
Edna baada ya kurudi  kwake bila kupata jibu la shoga yake kujidhalilisha kwa kijana mdogo kama Shaka, majira ya saa moja alikwenda kwa shoga yake akamalizie mkanda wake kwa kuamini muda ule Shaka ameshaondoka kisha kumpa makavu ‘live’.
Alipofika kwa shoga yake alikuta nyumba bado haijawashwa taa. Aliposogelea mlango alikuta umerudishwa tu, aliingia sebuleni na kushangaa kutomuona shoga yake.
Juu ya kochi kulikuwa na simu ya shoga yake ambayo ilikuwa ikiita bila kupokelewa. Wazo labda amelala lilimjia na kuamua kwenda chumbani kwa Betty.
Chumbani palikuwa na giza, alikwenda kwenye swichi na kuwasha taa. Baada chumba kujaa mwanga, jicho lake lilishtuka kuwaona watu wawili wakiwa wamelala mlalo wa mchoko mzito.
Alishuhudia shoga yake akiwa wamelala kama yupo ‘leba’ mguu mmoja huku mwingine kule. Mguu mmoja ukiwa mgongoni kwa Shaka ambaye naye alikuwa hajitambui.
Alizima taa na kutoka haraka kwa kuurudisha mlango mkubwa na kuishia zake huku akizidi kuchanganyikiwa. Alijiuliza ni kweli Shaka ndiye aliyemsambaratisha vile shoga yake ambaye siku zote alilalamika kuwa mpenzi wake hajawahi kumfanya ashindwe kunyanyuka kitandani?
Alijiuliza kama ni kweli Shaka ndiye kafanya vile, alijuaje uwezo wa kijana mdogo kama yule? Alijikuta akiona wivu kwa shoga yake kupata kipigo cha pweza.
Kwake ilikuwa pigo moyoni mwake kwani mpenzi wake mwezi wa pili mfululizo alikuwa akiachwa njiani kila walipokutana.
Wazo lake lilikuwa kumtafuta Shaka kwa siri hata kwa kumpa fedha anayotaka ili naye auone utundu wake na kama atampa kipigo cha pweza basi naye atakuwa abiria wa siri kwenye gari la Shaka.
Usiku kwake ulikuwa mrefu kwani mpenzi wake baada ya kuangusha dafu moja hakusubiri mwenye mnazi aridhike, aliteremka na kumpa mgongo na kumwacha akirusha miguu kama amekanyaga moto baada ya wadudu kumnyevua kama wametumwa.
Moyoni aliapa kwa hali na mali lazima kesho yake atamtafuta Shaka ili naye apate haki stahiki. Siku ya pili alipokwenda kwa Betty, alimkuta amejilaza akiwa mchovu.
“Vipi shoga?”
“Mmh! Nipo hoi.”
“Nini tena?” alijifanya hajui.
“Wee acha tu, kweli ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.”
“Kwanza shoga hebu niambie ukweli yule kijana mpenzi wako?” alitafuta ushahidi japokuwa ukweli aliujua.
“Ndiyo na hali hii hunikuta ninapokutana naye.”
“Lakini mbona mdogo sana.”
“Angekuwa mdogo ningekuwa hivi, huyu Jimmy mtu mzima ukikufurahisha leo, kesho anakuudhi. Lakini toka nianze na Shaka sijawahi kukasirika, si mechi ya kirafiki si fainali.”
“Mechi ya kirafiki na fainali zipoje?”
“Mechi ya kirafiki bao moja kama mguu wa jini au mbili za mkwezi zinatosha. Lakini fainali kama jana sijui kama mtoto wa watu kaenda shule.”
“Anakushika ukashikika kabisa?” Edna alitafuta ukweli.
“Tena kabisa, angekuwa hasomi mbona tungefungiana ndani wiki mzima ili amalize hamu zangu. Yaani juzi usiku sikulala baada ya kumkosa sasa hivi kila nikimuwaza zinapanda kama zimetumwa na akifika zinamjua. Mtoto yule ana nguvu kama faru.”
Maneno yale yalimuumiza Edna moyoni alipanga kumfuatilia shule ili kupata nafasi ya kuzungumza naye kwa kituo na kama kikieleweka basi wamalize mchezo kabisa siku ileile.
                                 ***
Siku ya pili Shaka alikwenda shule kama kawaida japokuwa mwili ulikuwa umechoka sana. Muda mwingi darasani alikuwa akisinzia.
Stella naye alikuwa na shoga yake wakipiga stori huku wakimuangalia Shaka kwa wizi.
“Shoga ni kweli Shaka ndiye aliyekufanya vile?” Diana alitaka kupata uhakika kwani bado hakuamini.
“Diana mi na wewe hatufichani kitu, kijana yule koma.”
“Lakini mbona haendani na yaliyokukuta?”
“Shaka ni mdogo wa umbo lakini anawazidi watu wazima. Tena kuanzia sasa hivi sitaki kumuona mvimba macho yeyote ana msogelea.”
“Sasa wasiwasi wako nini, wakati shuleni wewe ndiye unayemmiliki?”
“Inawezekana eeh!” Stella aliliwa akili na shoga yake.
“Ondoa wasiwasi mgomba wa Shaka ni wako jilie ndizi zako kwa raha zako.”
“Yaani maneno yako yameupoza moyo wangu.”
“Pamoja na kukuamini kidogo, bado siamini kwa asilimia mia kuwa Shaka umemvulia nguo na kuweza kukuliza chozi la chini.”
ITAENDELEA SIKU YA KESHO HAPA HAPA
Endelea ku-like hapa ===>www.facebook.com/2jiachie

No comments

Powered by Blogger.