Rihanna akatiza na boxer ya kiume!
Kila mara vichwa vya habari kwenye media mbalimbali hukosi kukutana na
habari inayomuhusu mwanamuziki huyu mrembo lakini mwenye vituko
Rihanna, iwe ni habari ya kimapenzi au aina yake ya uvaaji maana kuhusu
mavazi kwa Rihanna kutinga kivazi kinachoanika asilimia kubwa ya mwili
wake sio ishu kabisa!
Safari hii Rihanna ameonekana akikatiza na boxer ya kiume bila hofu.. huku katinga kiatu kirefu na blauzi fupi iliyofunikwa na koti kwa juu Rihanna ndiye anaweza kuwa mmoja wa wanawake wachache wenye uthubutu wa kutinga vazi lolote popote bila kujali.

Post a Comment