ad

ad

PENZI LA DIVA NA GK KAMA BOMBAY

Mwanadada Mwengi akiwa na mtoto aliyezaa na Moze Iyobo
Dancer wa Kundi La wasafi linalotumiwa na Diamond Platnumz ameamua kumwacha Aunty Ezekiel na kurudiana na mpenzi wake waliyezaa nae mtoto mmoja, kwa mujibu wa Baby Mama wa Moze  iYOBO bibie Mwengi amefunguka kuwa ni kweli AUnty Ezekiel alikua anatoka na bwana wake lakini baada ya yeye kushtukia mchongo huo akamuuliza na Moze akakiri kuwahi kuhusiana kimahaba na Star Bongo Movie Aunty Ezekiel na akatubu kwa Baby Mama wake mwisho wa siku akasamehewa na mapenzi yao kurudia kama kawa,
skiliza You Heard

No comments

Powered by Blogger.