ad

ad

MECHI YA WABUNGE: YANGA 3, SIMBA 2


Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa mabao 3-2. Wafungaji Simba: Maji Marefu (11) na Yusuf Gogo (3). Yanga: Idrissa Kitwana (7), Ahmed Ngwali (11), Mark Tanda (2).

Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga akishangilia. 
 
Yanga wakishangilia bao lao.

Mtanange ukiendelea.

No comments

Powered by Blogger.