ARSENAL YAIPA KIPIGO BENFICA 5-1 KOMBE LA EMIRATES
MSHAMBULIAJI
kinda wa Arsenal, Yaya Sanogo au Yaya Sanogoal amwfunga mabao manne
katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Benfica jioni hii mchezo wa ufunguzi
Kombe la Emirates.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 ambaye alianza kucheza England msimu uliopita akipewa mechi 14 mashindano tote alifunga mabao hayo katika dakika za
26, 44, 45 na ushei na 49, wakati bao lingine la Gunners lilifungwa na Joel Campobell.
Bao pekee la kufutia machozi la timu a Ureno lilifungwa na Gaitan dakika ya 62.
Shoo la mtu mmoja: Yaya Sanogo ameifungia mabao manne Arsenal katika ushindi wa 5-1 Kombe la Emirates dhidi ya Benfica
Kikosi
cha Arsenal kilikuwa: Martinez, Bellerin, Chambers, Monreal/Miquel
dk73, Gibbs, Flamini/Arteta dk60, Campbell/Sanchez dk73, Ramsey/Wilshere
dk60, Rosicky/Coquelin dk60, Oxlade-Chamberlain/Cazorla dk46 na
Sanogo/Akpom dk73.
Benfica:
Artur, Amorim/Joao Teixeira dk85, Gaitan/Cancelo dk85, Lima/Derlei
dk85, Maxi Pereira, Ola John/Candeias dk60, Salvio/Bebe dk57,
Eliseu/Benito dk19, Sidnei, Talisca/Andre Almeida dk60 na Cesar.
Sanogo (kulia) akiifungia Arsenal bao la kwanza.
Match Facts
Arsenal:
Martinez, Bellerin, Chambers, Monreal (Miquel 73), Gibbs, Flamini
(Arteta 60), Campbell (Sanchez 73), Ramsey (Wilshere 60), Rosicky
(Coquelin 60), Oxlade-Chamberlain (Cazorla 46), Sanogo (Akpom 73).
Subs: Szczesny, Debuchy, Koscielny, Giroud.
Booked: Monreal.
Goals: Sanogo 26, 44, 45+1, 49, Campbell 40.
Benfica: Artur, Amorim (Joao Teixeira 85), Gaitan (Cancelo 85), Lima (Derlei 85), Maxi Pereira, Ola John (Candeias 60), Salvio (Bebe 57), Eliseu (Benito 19), Sidnei, Talisca (Andre Almeida 60), Cesar.
Subs: Paulo Lopes, Jara, Luis Felipe, Lindelof.
Booked: Benito.
Goal: Gaitan 62.

Post a Comment