ALI KIBA AKIPIGA SHOO KWA MARA YA KWANZA, BAADA YA UJIO MPYA
Nyota wa
muziki wa Bongo fleva, Ali Kiba akiimba huku akiwa katika pozi bila
kuwaangalia mashabiki wake katika Tamasha la Usiku wa Matumaini usiku wa
kuamkia leo.
Ali Kiba akionyesha manjonjo yake kwa mashabiki wake.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na ujio mpya wa Ali Kiba.
Ali Kiba akicheza na mkali wa Komedi Bongo, Haji Salum 'Mboto'.
...Akimchezesha Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (kushoto).
Rais wa Bongo Movie-Steve Nyerere (kushoto) akiwa amepagawishwa na muziki wa Ali Kiba, hapa anakamua wimbo wa Mwana Dar.
Ali kiba akicheza na wacheza shoo wake.
Post a Comment