NOMA SANA: BABY MADAHA AENDA KWAO KUTAMBIKA
MAKUBWA! Staa wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha
anadaiwa kwenda kijijini kwao kutambika baada ya kuona mambo yake
yanamwendea kombo.
“Ni kweli niko nyumbani kwetu Mwanza, ni muda mrefu sijaja kumuona mama, kuhusu kutambika hilo ni lazima kwani nikiona mambo hayaendi vizuri, lazima niikumbuke mizimu ya kwetu,” alisema Baby.
Staa wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha.
Akizungumza na mwanahabari wetu, rafiki wa karibu wa Baby Madaha
ambaye hakupenda kuanikwa, alisema kutokana na staa huyo kuona mambo
hayaendi vizuri hasa kwenye muziki, ameamua kwenda nyumbani kwao Mwanza
kwa ajili ya kutambikia mizimu ya kwao.
Baby Madaha.
Alipotafutwa Baby kuhusiana na ishu hiyo, alifunguka: “Ni kweli niko nyumbani kwetu Mwanza, ni muda mrefu sijaja kumuona mama, kuhusu kutambika hilo ni lazima kwani nikiona mambo hayaendi vizuri, lazima niikumbuke mizimu ya kwetu,” alisema Baby.
Post a Comment