WACHEZAJI WA YANGA WAKIWA MAZOEZINI COCO BEACH LEO
Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo kwenye ufukwe wa COCO.
Mshambuliaji Jerry Tegete (mbele), kocha Pondamali (mwenye nguo za kijani) na wachezaji wengine wakiendelea na mazoezi.
PICHA NA MPIGA PICHA WETU
.jpg)
Post a Comment