TOROJO BAMIA (Winga teleza) - 04
Wakiwa katika ya mazungumzo kengere ya mlangoni iliita, MJ alifungua
mlango, mara aliingia msichana wa kiarabu aliyekuwa katika vazi la
hijabu baada ya kuingia aliivua na kuitupia pembeni kisha alikwenda kumrukia MJ na kuanza kumla ndenda bila hata ya kuangalia pembeni kama kuna mtu.
SONGA NAYO...
Shuku alishangaa kumuona yule msichana baada ya kuvua hijabu hakuwa na kitu kingine zaidi ya bikini iliyomezwa na mgongo wa kufa mtu. Kila msichana aliyeingia kuwa na mgongo ilimshtua sana Shuku na kujiuliza kuna siri kwa rafiki yake penda wenye migongo mikubwa na kuwa na wasiwasi huenda ni wakala wa kampuni ya simu.
“MJ leo nataka nikupe penzi la siting room,” yule msichana alisema huku akiivuta tailo na kumfanya MJ kubaki mtupu, kabla hajavamia mashine ya kutoa koni MJ alimshika:
“Salha hebu subiri.”
“MJ asiushushe mzuka wangu, leo nimekuja kwa kazi moja.” alisema huku akipiga magoti aifikie mashine ya koni.
“Kuna mgeni humuoni.”
“Yupo wapi?”
Yule msichana aligeuka na kumuona Shuku aliyekuwa amekaa kwenye kochi, kwa aibu alimshika mkono MJ na kumvutia chumbani. Shuku alizidi kuchanganyikiwa na warembo walivyokuwa wakijitoa akili kwa MJ. Maswali yaliyokosa majibu, alijiuliza anawapa nini kiasi cha wao kumfuata badala ya yeye kuwafuata.
Mara ghafla alianza kusikia sauti ya kilio cha mahaba toka katika chumba cha MJ ambacho walisahau kufunga mlango. Kelele zile zilikuwa mateso mengine kwake na kujiona kama ameletwa kuteswa na rafiki yake. Siku ile aliiona ya mateso. Asubuhi aliona kwa mbali na kuteseka lakini muda ule yalikuwa mateso ‘live’ ambayo kwake aliona kama hawezi kuyavumilia.
Aliona dawa ni kwenda bafuni kupunguza maumivu kwa kuvuka bahari kwa mkono kuitafuta pwani ya utamu. Alijikuta kwa usongo kwa kurudia picha za warembo toka aliyemtesa asubuhi mpaka wale waliokuja kwa MJ, alizikung’uta tatu mkononi na kujiona mwepesi. Alipotoka alikuta yule mrembo wa kiarabu amekwisha ondoka.
“Vipi ulikuwa wapi?” MJ alimuuliza Shuku aliyekuwa huku akijifuta maji na taulo akinesha anatoka kuoga.
“Nilikuwa msalani mara moja.”
“Shemeji yako alitaka kukuaga.”
“Mbona sijachelewa sana.”
“Vipi cha awali na cha sasa kipi kikali?”
“Mmh! Vyote vikali, kweli ndugu yangu unafaidi, lakini unakumbuka kinga?”
“Kinga ya nini vitu kama hivi ukivivalia kinga si bora upige puchu.”
“Kaka raha za leo kilio cha kesho.”
“Ukiogopa kufa huwezi kutafuta mali wala kula raha, ukikipata kitumie ukikikosa kijutie.”
“Mmh! Sawa.”
“Sasa usipoteza muda kabadili nguo twende ukapige picha kisha uzipeleke sehemu utamkuta mkuu wa usalama na kumpa ukitoka huko kachukue vitu vyako muhimu na vingine uvigawe kisha urudi katika dunia mpya uliyoiota.”
Wakati wakizungumza kengere ya mlangoni ililia, alifungua mlango na kuingia mama mmoja mtu mzima lakini alikuwa na mzigo wa haja.
“Wawooo mama huyo,” MJ alimkimbilia yule mama na kumkumbatia.
“Wawoo mwanangu.”
“Shikamoo.”
“Marahaba mtoto mzuri.”
“Karibu mama, baba hajambo?”
“Hajambo nimemkimbia mara moja si unajua tena matiti yakiwasha unajua mtoto anataka kunyonya.”
“Ni kweli mama umenisahau sana mwanao.”
“Basi leo nataka unyonye kisha nimuwahi baba yako.”
“Shikamoo,” Shuku alimuamkia yule mama aliyekuwa na mzigo wa haja japo umri ulikuwa umeenda.
“Marahaba mwanangu, MJ huyu nani?”
“Ndugu yangu.”
“Ooh! Mtoto wangu mwingine,” yule mama alimuacha MJ na kwenda kumkumbatia Shuku akiyekumbana na manukato ya bei mbaya. Baada ya kumuachia alimgeukia MJ na kumwambia.
“Sasa mwanangu nina muda mudogo sana baba yako kaenda bandarini mara moja nina imani mpaka anatoa mzigo nitakuwa nimekwisharudi nyumbani.”
“Hakuna tatizo, mwanao ninavyopenda kunyonya kama mtoto wa paka.”
“Lakini leo nitakunyonyesha kidogo kuokoa muda ila wiki ijayo baba yako atakuwa na safari ya Ulaya hapo mwangu utanyonya tani yako.”
“Shuku jiandae tutatoka pamoja,” MJ alisema akimshika mkono mwanamke aliyejiita mama yake.
Shuku alipingwa na butwaa na kujiuliza umama na utoto umekujaje na kwa nini waende chumbani. Alijiuliza yule mama mtu mzima umri wa mama yake mzazi ni mpmnzi wa MJ. Baada ya kuingia chumbani Shuku hakukubali alitaka kuona hatima ya yule mama na Shuku anamnyonyesha vipi.
Alizunguka nyumba na kwenda kupiga chabo dirishani, baada ya kukaa engo nzuri ya kutazama ndani aliona Shuku akimsurubisha yule mama ambaye alikuwa katika mkao wa mbuzi mkaidi.
Alijiuliza kule ni kunyonyeshana au kufanya mapenzi, alimsikia yule mama akimwagia sifa MJ.
“Meno ya kibao chako cha kukunia nazi yanajua kukuna vizuri yaani hapa hakuna kitu kitabakia kwenye kifuu cha nazi kitakuwa cheupe nikirudi nyumbani mwepesiii.”
Shuku alijiuliza kumbe kunyonya kwenyewe ndiko kule, aliendelea kumshuhudia mama mtu mzima akibadili mikao na kukuruka kama dume la funza jinsi alivyokuwa akiukwea mnazi wa MJ. Alishangazwa na uwezo mkubwa aliouonesha bi Mkubwa kwa kuweza kuzungusha mzigo wa haja nazi unavyokunwa kwenye kibao cha mbuzi.
Shuku kutokana na ugumu wake naye alijikuta akienda marikiti baada ya kupeleka mkono ikulu na kwenda na muvu ya goli naye kujipasulia yai mkononi. Alimshuhudia yule mama baada ya mpambano akimshukuru MJ.
“Mwanangu nina imani leo umenyonya japo najua hujashiba lakini matiti yangu umeyatendea haki umenyonya kwa ustaarabu mkubwa bila papara na kunifanya mama yako nione raha ya ajabu.”
“Lazima niwe na heshima ninaponyonya kwa mama.”
“Wala siogi nitachelewa, wacha nimuwahi baba yako najua muda si mrefu atarudi nyumbani. Atanikuta nimejaa tele kama pishi ya mchele bila kujua chakula cha mwanaye kimeliwa.”
Shuku alitoka dirishani na kuwahi bafuni kuoga, akiwa anamalizia kuoga alifuatwa na MJ bafuni.
“Mwana vipi unaoga mwaka mzima?”
“Nimemaliza.”
“Njoo basi mama anataka kukuaga.”
Ilibidi Shuku atoke sebuleni kumuaga yule mama mtu mzima lakini alionekama bado wamo kwa umbile na uwezo wa kukwea minazi hakuwa mvivu kulishughulisha umbile lake. Alipofika alimkuta yule mama kasimama akizungusha funguo ya gari kidoleni.
“Mwanangu nakimbia wacha nimuwahi baba yenu.”
“Haya mama, msalimie baba.”
“Salamu zimefika.”
Yule mama alielekea nje huku mung’unyumung’unyu likipishana kama yanagombea kupita mlangoni. Shuku alimsindikiza mpaka alipopotea nje na kutikisa kichwa alipogeuza uso alikutana na MJ akimtazama na kutabasamu.
“Mmh! Sikuwezi.”
“Utaniweza, si muda utaona jambo la kawaida.”
“Huyu si mkubwa kwako?”
“Kwangu mguu umepwaya kwenye kiatu.”
“Hapana.”
“Sasa tatizo nini ninampa anachotaka ananipa ninachotaka, yaani mpaka najiuliza wakati wa ujana wake alikuwepo.”
“Si ameolewa.”
“Ndiyo.”
“Mumewe unamjua?”
“Tena rafiki yangu mkubwa.”
“Mamaaa MJ unatafuta kifo.”
“Mbona mwaka wa tatu sasa nakula maini na ng’ombe mzee bila wasi.”
“Ulimpataje?”
“Alizimika na flagi yangu akatuma maombi nilipomcheki mtu mzima pia analipa nikamkubalia.”
“Mmh! Na mumewe huwa anakuja hapa.”
“Hata siku moja, ni mtu mkubwa wenye fedha kama mchanga pia si mtu wa kukaa sana Bongo yeye na pipa kama wewe kwenda kariakoo japo kuna siku huwa unakosa nauri na kupiga lapa kama nilivyokukuta leo lakini kupanda ndege kama kuvuta pumzi za kila sekunde.”
“Ulimpataje?”
“Mbona huyu umeniuliza wote waliopita hukuniuliza?”
“Nijibu kwanza huyu kwani ni zaidi ya wote kwanza kwa umri mzigo alifungasha nyuma pia uwezo wa kifedha kawazidi mbali wale wasichana waliotangulia.”
“Nilikwenda kufanya biashara na mume wake, kila nikienda alikuwa akinichangamkia siku moja mumewe alikuwa nje alinituma kufuata fedha kwa mkewe hapo ndipo alipofunua kombe mwanahara nikasimama.”
“Sasa mwanamke kama huyu unamuonga kiasi gani?”
“Ananihonga yeye, gari ulilopanda leo kaninunulia yeye.”
“Wachaaa.”
“Waswahili wanasema mwili mtaji ukiutumia vizuri utakuwa tajiri akiutumia vibaya utakufa vibaya.”
“Mmh! Wacha umpe raha yaani pamoja na kukupa mambo bado anakumwagia mifedha.”
“Bwana eeh, maswali yanatosha muda unakwenda, kabadiri nguo ya ukweli kisha chukua gari unalotaka hapo nje uwahi.”
“Hata hili ulilonibebea leo?”
“Lolote”
“Hata Vogue?”
“Lolote nataka uishi maisha ya ndotoni nina fedha sina wa kuzitumia sina mtoto wewe ndiye wa kuzifaidi mali zangu kwa sasa.”
Shuku alikwenda kubadili nguo huku akiamini kuwa na gari ndiyo mwanzo wa kuanza kumpigia misele yule demu aliyemdatisha.
Shuku baada ya kujiandaa kwa kuchagua pamba kali ili kila atakayemuona aamini gari atakalokuwa akitembelea ni lake. MJ alimpatia rafiki yake laki tano.
“Shuku najua kuna mashemeji waliokuwa wakikudengulia wakikuona leo ulivyolipuka pamba kali mkoko wa nguvu lazima atakufuata kama mbwa na chatu. Nina imani ukilipa kodi fedha itakayobakia utatumia na atakayejipendekeza maliza shughuli, huu ndio muda wako wa kulipa kisasi cha maisha.Chukua mkoko wowote hapo nje, pia chukua na kamba juu ya meza ya tivii chumba ili wachanganyikiwe.”
“Hakuna tatizo mwaka huu lazima wanisome namba,” Shuku alisema huku akizihesabu fedha alizopewa.
“Ni laki tano hizo.”
“Asante sana.”
Shuku alikwenda chumbani kwa MJ na kuchukua kamba ya ukweli na kutinga shingoni kisha alitoka nje na kwenda kwenye maegesho na kuchukua gari linalofunguka juu ambalo aliamini akiingia uswahili kila mtu atokwe na udenda wa mshangao.
Baada ya kuchagua gari alilolitaka alimuaga rafiki yake na kuelekea sehemu kupiga picha kwa ajili ya leseni ya gari kisha aende uswahilini kwake kulipa kodi ambayo kabla ya kukutana na MJ alikuwa mbioni kufukuzwa kwenye nyumba baada ya kupitisha zaidi ya miezi minne alimuona MJ kama malaika aliyekuja kumkomboa.
Akiwa njiani ndani ya gari huku akila kiyoyozi, kila alivyokuwa akikanyaga mafuta alijiona kama yupo ndotoni hakuamini na yeye kuna siku ataendesha mkoko wa nguvu kama ule huku akila kiyoyozi na kusindikizwa na muziki mtamu.
Shuku alikuwa na hasira na msichana wa nyumba ya pili ambaye ndiye aliyemvunja nguvu ya kuwafuata wasichana wenye title mtaani. Alikumbuka siku moja alipomsimamisha mmoja ya wasichana ambao walikuwa watata mtaani kwao baada ya kuteseka kwa muda mrefu. Baada ya kuteseka muda mrefu aliamua kujitosa mzimamzima na kumsimamisha. Alisimama ili kumsikiliza, Shuku alijikuta kwenye wakati mgumu kuyasema yaliyo moyoni mwake kutokana na jinsi yule msichana alivyomuangalia kwa dharau na kujitikisa kwa madaha.
“Mhu! Niambie unasemaje?” alimuuliza huku akimpandisha na kumshisha.
“Suzy ni..ni..li..kuwa na shida kidogo.”
“Uliambiwa mi ni kituo cha misada?” Alimjibu mkono kiunoni huku kabinua kiuno.
“Siyo hivyo Suzy.”
“Haya sema shida yako.”
“U..u..najua Suzy.”
“Shuku nijue nini? Hebu acha kujiumauma mtu mzima sema shida yako, huna nauli ya kwenda mjini?” Suzy alisema huku akikunjua noti alizokunja mkononi na kumpa elfu moja.
“Nina imani elfu inakutosha, una jingine?” Suzy alinyoosha mkono kumpa Shuku lakini hakupokea kitendo kilichomuuzi Suzy na kumkazia macho kumuuliza.
“Kuna mtu kakutuma? Haya niambie.”
“Sivyo hivyo Suzy.”
“Sasa unashida gani Shuku? Unajua kuna sehemu nawahi kuna ofa.”
“Nashida na wewe,” Shuku alijikakamua.
“Mmh! Makubwa, jamani mbona mapya, Shuku mimi nikutese wewe? Nimegeuka mchawi nakuchukua usiku na kukugeuza fisi?”
“Hapana Suzy kimapenzi.”
“Unamaanisha unanitaka niwe mpenzi wako?”
“Ndi..ndi..yo Suzy.”
“Muone huna hata haya hata kuzungumza huwezi unajua kabisa mimi si saizi yako. Shuku umenidharau kiasi gani kunisimamisha na kunieleza ujinga wako?” Suzy alikuja juu na kupaza sauti iliyosikika umbali mrefu.
“Si..si..hivyo..Su..su zy...na..na kupenda.”
“Shuku mbona unataka kunitia nuksi huko niendako mambo yangu yaende ndivyo sivyo.”
“Lakini Suzy mpenzi hayapo hivyo nami nina haki ya kuyasema mateso yangu kwako.”
“Hebu niangalie,” Suzy alisema kwa sauti huku akijigeuza mbele ya Shuku kitu kilichomfanya Shuku ajute kumsimamisha mbele za watu na kujiona kama kavuliwa nguo. Alitamani kukimbilia kuepuka aibu ile lakini miguu ilikuwa mizito alibakia kasimama kama sanamu.
“Jamani mimi ni hadhi ya Shuku?” aliwauliza mashoga zake kwa sauti ya juu waliokuwa mbali kidogo na yeye.
“Ha! Ndicho alichokusimamishia?” waliuliza.
ITAENDELEA KESHO HAPAHAPA
KAMA ULIKOSA SEHEMU ZA NYUMA SOMAHAPA
1.SOMA SEHEU YA KWANZA >>>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-01.html
2. SEHEU YA 2: >>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-02.html
3. SEHEU YA 3: >>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-03.html
: Utamu ndio kwanza unazidi kukolea. Bado sehemu kibao kuweza kuisha chombezo hili la aina yake . Kamwe usithubutu kusimuliwa hii simulizi ingia ujisomee mwenyewe hapa hapa uwanja wa simulizi pekee.
:: SHARE nyingi na COMMENT bila kusahau LIKE ndizo zinafanya Chombezo hili kuwa likitoka kila siku na kwa muda muafaka hapa www.facebook.com/2jiachie pekee. Hakika si ya kukosa hii.
Wanaotakiwa kusoma chombezo hili ni kuanzia +18 tu!
Hairuhusiwi kunakili. Au kutoa hata neno kuhamishia kwenye kitabu,tamthiliya ama wall ya facebook,twitter,whatsapp na sehemu nyingine pasipo idhini ya 2JIAHIE utashitakiwa!!.
TUKUTANE HAPA SIKU YA KESHO

“Mimi?” Suzy alishtuka na kujishika kifuani.
“Eeh.”
“Shida gani?”
“Unajua Suzy nateseka kila nikuonapo.”

Post a Comment