Robin Van Persie
akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia
Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe
la Dunia.
Robin van Persie alifunga bao zuri la kichwa cha umbali wa mita 30 kusawazisha kwa Uholanzi dakika ya 41 ya kipindi cha kwanza.
Haamini macho yake: Casillas huku wachezaji wa Uholanzi wakishangilia bao la Van Persie.
Post a Comment