RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MWANDAMIZI WA MAMBO YA NDANI NA NJE WA SINGAPORE
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri
Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya
Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6,
2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku
tano.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri
Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya
Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es
salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku
tano. Wa pili kutoka kulia mstari wa mbele ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha, na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini India anayewakilisha pia nchini Singapore, Mhe. John Kijazi
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri

Post a Comment