MWILI WA GEORGE OTIENO 'TYSON' WAANZA KUAGWA LEADERS CLUB
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa
TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo
Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za
kuaga mwili wa Tyson.
Aliyekuwa
mke wa marehemu, Yvonne Cherry 'Monalisa' (kulia) akilia kwa simanzi
pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia (katikati).
Mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' ukiwasili Viwanja vya Leaders.
Mwili wa marehemu ukitolewa kwenye gari.
Jeneza likipelekwa eneo maalum Leaders.
(PICHA NA HAMIDA HASSAN KUPITIA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)
Post a Comment