ad

ad

MRITHI WA FABREGAS NDANI YA BARCA, HUYU HAPA



 
Siku chache baada ya kiungo Cesc Fabregas kutimkia Chelsea, Kocha Mkuu wa Barcelona, Luis Enrique ameamua kumchukua Ivan Rakitic wa Sevilla.

Rakitic ndiye ataziba pengo la Fabregas na ameingia mkataba wa miaka mitano.
Pia Barcelona imemnasa kinda kutoka Manchester City aitwaye, Denis Suarez kwa mkataba wa mkopo wa miaka miwil

No comments

Powered by Blogger.