Lameck Ditto - Tuongeze Bidii ( Official Video )
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Lameck Ditto ametoa video ya wimbo
wake mpya "TUONGEZE BIDII" Hii inakuwa ni Video yake ya Tatu toka
ameanza kuimba kama mwimbaji wa kujitegemea, kabla ya hapo zilishatoka
WAPO na TUSHUKURU KWA YOTE.
Director wa Video ni Sadick Kutoka Redline Production, na
Producer wa Wimbo ni Ema The Boy kutoka katika Studio za Sorround Sound
Studio.

Post a Comment