ad

ad

Harusi ya Joshua Nassari ni kesho; No cards at entrance!

ssari ni kesho; No cards at entrance!

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akimwimbia mchumba wake Bi Anande Nnko wakati wa sherehe ya Send off iliyofanyika nyumbani kwao na Bi Harusi Mtarajiwa, Meru. (picha:Dixon Busagaga/Michuzi blog)

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kesho anatarajia kufunga ndoa na Bi. Anande Nko katika Kanisa la Pentekoste, Kilinga lililoko wilaya ya Meru ikifuatiwa na sherehe itakayofanyika katika viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.

    "Nichukue tena fursa hii kuwakaribisha ndugu marafiki, jamaa na zaidi sana wananchi wangu wa jimbo la Arumeru Mashariki kwenye tendo adhimu la kusherekea harusi yangu, Jumamosi Juni 7, Usa-River Academy Grounds kuanzia saa saba mchana. Kwa pamoja tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu pamoja. ...No cards on entrance!"

alisema Nassari.

No comments

Powered by Blogger.