H BABA ALAZWA MUHIMBILI KWA KUUMWA DENGUE
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva,Hamis Baba’H Baba’amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa kuumwa ugonjwa wa Dengue.
Msanii huyo alipelekwa katika hospitali jana usiku baada ya hali yake
kuwa mbaya.Kupitia mtandao wa Instagram mke wa msanii huyo Frolah
Mvungi aliandika hivi..DENGUE.....muhimbili now SAA nane Hii.usiku.hali
ilikuwa mbaya zaidi imebidi tuletwe MUHIMBILI HOSPITAL.AMEGUNDULIKA NI
DENGUE.thanx to GOD anaendelea vizuri and that is the last drip.asante
my manager Yahya for your greatest help.mungu akuzidishie.asanteni pia
my fans kwa maombi yenu…
Post a Comment