COLOMBIA YAITOA URUGUAY, KUKUTANA NA BRAZIL ROBO FAINALI
MABAO
ya James Rodriguez katika dakika za 28 na 50 usiku huu yameiwezesha
Colombia kutinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifunga Uruguay
2-0.
Sasa, washindi hao wa Kundi C watakutana na wenyeji Brazil katika Robo
Fainali, ambao wameitoa Chile katika mchezo uliotangulia kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120. Rodriguez sasa anakaa mguu sawa katika mbio za kiatu cha dhahabu cha michuano hiyo, akitimiza mabao manne na pia ametoa pasi nne za mabao.
Colombia iliyoongoza Kundi C ilipokuwa pamoja na Ugiriki, Ivory Coast na Japan ilicheza soka maridadi na kuipoteza kabisa Uruguay iliyofuzu kama mshindi wa pili wa Kundi D nyuma ya Costa Rica.

Golden goal: James Rodriguez scores a stunning volley in the first half to put Colombia ahead
Sweet strike: Rodriguez lines up his volley which gave Fernando Muslera no chance in the Uruguay goal
No stopping that one: Uruguay's goalkeeper Fernando Muslera has no chance in stopping Rodriguez's shot
Cloud nine: Colombia fans celebrate knocking Uruguay out of the World Cup
Man of the moment: Rodriguez celebrates his goal as Colombia beat Uruguay
Pick that one out: Rodriguez celebrates his wonder goal
James’s
bite in Brazil has come from having decisive influence on Colombia’s
impressive progress, not a malevolent act of aggravated harm, and it was
fitting that Uruguay’s unlovable apologists were removed from the
competition by his wit and talent, an elevation of football’s spirit
that was met with joy in the fitting surrounds of the Maracana Stadium.
By
the end, the Uruguayans in the crowds were reacting angrily to
Colombian mockery of their limitations. Good. They deserved it. Many
turned up with their Suarez masks and chants and a well-honed victim
mentality encouraged by their coach Oscar Tabarez, but it was not
enough. They will depart feeling hard done by, but were not. The best
team won. The good guys, too.
Colombia
are deserved quarter-finalists and Brazil will not look forward to
facing them on this evidence. James in particular, is an exquisite
talent, a player of true fantasy, capable of scoring a goal to grace any
game, in any competition, and certainly worthy of this famous stadium.
The execution was close to perfect.
In it goes: Rodriguez scores his fifth goal of the tournament

Post a Comment