ad

ad

BREAKING NEWS: MUME WA FLORA MBASHA APEWA DHAMANA


Mume wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akipelekwa mahabusu ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar.
 
...Emmanuel Mbasha akifungiwa ndani ya mahabusu.

...Askari magereza akifunga mlango wa mahabusu.
 
...Emmanuel Mbasha akielekea kizimbani.
MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na kesi ya ubakaji amepewa dhamana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar baada ya kutimiza masharti!
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
CREDIT: GPL

No comments

Powered by Blogger.