BANG MAGAZINE YASHEREKEA KUTIMIZA MIAKA 10 NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE
Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akikata Keki kwa Furaha Kusheherekea miaka 10
Kwa Furaha kubwa Kabisa Meneja Emelda Mwamanga Akimlisha Keki Mfanyakazi wake kusheherekea miaka 10 ya Bang Magazine
Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata picha na mama Wa Msanii Toka Marekani Yvonne Sangudi Kwenye Red Carpet
Meneja Wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akitoa Historia fupi ya Gazeti kwenye sherehe za miaka 10 ndani ya Escape One
Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akimkabidhi zawadi ya kushukuru mchango wa Mmoja wa Wadau wa Bang Magazine
Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akimkabidhi mwakilishi toka Airtel Tanzani Zawadi ya shukrani kwa kuwa Wadau wao wakubwa kwa miaka 10
Wageni Waalikwa nao wakapata nafasi ya Kuonja Keki ya miaka 10 ya Bang Magazine
Mshehereshaji wa miaka 10 Evans Bukuku Akimwita Kwa Steji Msanii Yvonne Sangudi ambate anatokea Marekani Lakini ni Mtanzania

Post a Comment