MKUTANO WA 12 WA SIKU MOJA WA VIONGOZI WAKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA
Wakuu
wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha
Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa
Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha { AICC }.
Na Othman Khamis Ame
Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa
Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha { AICC }.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba yaRais wa
Zanzibar Dr. Ali Mohamed Sheni akipokea kitabu wakati wa Mkutano wa Wakuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha.
Zanzibar Dr. Ali Mohamed Sheni akipokea kitabu wakati wa Mkutano wa Wakuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha.
Baadhi
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania waliohudhuria Mkutano wa 12 wa Wakuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki huko Arusha. Wa mwanzo kutoka kushoto ni Waziri wa
Ardhi wa SMZ Mh. Ramadhan Abdulla Shaaban, Waziri wa Mambo ya
Nje wa Tanzania Mh. Benard Membe na Waziri wa Afrika Mashariki Mh. Joh Samuel Sitta.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Uhuru Kenyeta wa
Kenya akihutubia Mkutano wa 12 wa Jumuiya hiyo Mkoani Arusha.
Kenya akihutubia Mkutano wa 12 wa Jumuiya hiyo Mkoani Arusha.
Wakuu
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakisaini baadhi ya hati za makubaliano
ya
Jumuiya hiyo. Kutoka kulia ni Rais Wa Uganda Yoweri Museveni, Rais wa Kenya
ambae ndie Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Rais Uhuru Kenyata, Rais wa Tanzania Dr.
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Bwana
Bazombaza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakiimba wimbo Maalum wa Jumuiya hiyo
kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 12 wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Arusha { AICC }.
kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 12 wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Arusha { AICC }.
Majaji
wapya walioapishwa kushika nyadhifa mbali mbali kwenye Mkutano wa 12 wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Mkoani Arusha. Kutoka Kushoto ni Jaji
Edward Mtakangwa, Dr. Anon Regerwa na Jaji Fakih Jundu.
Viongozi
wa Mtaifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakilizindua
Mnara wa kumbumbuku ya mauaji ya Rwanda yaliyotokea karibu miaka ishirini
iliyopita hapo Makao Makuu ya Jumuiya hiyo Arusha Tanzania.vKutoka kushoto ni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Bwana Bazombaza, Rais Jakaya Mrisho
Kikwete wa Tanzania, Rais wa Kenya mabae pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Rais
Uhuru Kenyata, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Waziri Mkuu wa Rwanda Bwana PierreDamieni Habumuryemi.

waJumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja mara b
aada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Jumuiya hiyo Mkoani Arusha Tanzania
.Kutoka Kushoto waliokaa vitini ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Bwana Bazombaza,
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Rais wa Kenya Uhuru Kenyata, Rais Yoweri
Museveni wa Uganda na Waziri Mkuu wa Rwanda Bwana Pierre Damieni Habumuryemi.

Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwapongeza
Majaji wapya wa Mahkama ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki waliokula
kiapo kwenye
Mkutano wa 12 wa kuitumikia Jumuiya hiyo Mkoani Arusha. Nyuma yake
ni Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

Mataifa wanachama ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki (EAC) yanapaswa kuzingatia umuhimu wa ulinzi wa pamoja wa eneo
lote la Afrika ya Mashariki kwa lengo la kujaribu kudhibiti vitendo vya
ugaidi vinavyoonekana kujitokeza katika baadhi ya Nchi wanachama wa
Jumuiya hiyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais Uhuru Kenyata wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya alieleza hayo wakati
akiuhutubia Mkutano wa 12 wa siku moja wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya hiyo
uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Arusha (AICC).
Rais Uhuru Kenyata alisema Mataifa ya
Afrika Mashariki hasa pembe ya Bara hilo imekumbwa na wimbi la vitendo
vya kigaidi kiasi kwamba huleta hali ya wasi wasi kwa wakaazi wa eneo
hilo. Alisema ukosefu wa utulivu katika baadhi ya maeneo ndani ya ukanda
wa Bara la Afrika umekuwa ukiipa wakati mgumu jumuiya hiyo kiasi kwamba
Mataifa wanachama yanalazimika kufanya kazi kwa pamoja ili kukabiliana
na tatizo hilo.
“Ukanda wa Afrika Mashariki umekuwa
ukikumbwa na vitendo vya kiharamia pamoja na ugaidi jambo ambalo
halileti sura nzuri kiasi kwamba huchangia hali ya wasi wasi kwa wana
Jumuiya wote “. Alifafanua Rais Uhuru Kenyata.
Akizungumzia suala la kuwa na Ushuru wa
Forodha na Soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki Mwenyekiti huyo
wa Jumuiya ya hiyo Rais Kenyata alisema upo muelekeo mzuri wa suala
hilo ambalo linaonekana kupewa Baraka na Viongozi wa Mataifa wanachama.
Rais Uhuru Kenyata alifahamisha kwamba
taratibu na mikakati ya kisheria imekuwa ikiendelea
kuchukuliwa na watendaji pamoja na Wataalamu wa Jumuiya hiyo ili kuona suala hilo linafikia muwafaka.
kuchukuliwa na watendaji pamoja na Wataalamu wa Jumuiya hiyo ili kuona suala hilo linafikia muwafaka.
Alieleza kuwa juhudi za kuwa na ushuru wa
forodha na soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki zilizoanza
harakati zake kati ya mwaka 2005, 2010 na 2013 zimelenga kustawisha hali
ya uchumi ya wananchi wa mataifa shirika wa Jumuiya.
Mwenyekiti huyo wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki { EAC } aliipongeza Tanzania kwa kuadhimisha
miaka 50 ya Muungano ulioasisiwa na Mataifa mawili huru ya Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964.
miaka 50 ya Muungano ulioasisiwa na Mataifa mawili huru ya Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964.
Rais Kenyata alisema kwamba Serikali ya
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa kielelezo cha kihistoria ndani
ya Bara la Afrika pamoja na Mabara mengine Duniani. Alieleza kwamba
Afrika
Mashariki na Bara zima la Afrika limepata heshima kubwa katika Nyanja za kisiasa kutokana na
Muungano wa Tanzania uliofikia nusu karne sasa tofauti na ile miungano mengine iliyoshindwa
kumudu hata kwa miezi michache.

Mapema Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Balozi Dr. Richard Sezibera ameishukuru
Tanzania chini ya Rais wake Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ukarimu wa Wananchi wake. Balozi Dr. Richard Sezibera ukarimu huo unaoendelea kuviwezesha vikao mbali mbali vya Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanyika kazi zake za kila siku Ndani ya ardhi ya Tanzania.

Katika Mkutano huo wa 12 wa Viongozi
Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Majaji Watatu waliapishwa kushika
nyadhifa mbali mbali katika baraza la Majaji la Jumuiya hiyo.
Majaji hao ni pamoja na Mh. Edward
Mtakangwa, Dr. Aron Regerwa, Jaji Fakih Jundu akiwemo pia Dr. Enos
Bukuku aliyeongezewa muda wa kuendelea kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya
hiyo ya Afrika Mashariki.
Halkadhalika Viongozi hao Wakuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa pamoja pia walizindua
Mnara wa kumbumbuku ya mauaji ya Rwanda yaliyotokea karibu miaka ishirini iliyopita.
Mnara wa kumbumbuku ya mauaji ya Rwanda yaliyotokea karibu miaka ishirini iliyopita.
Mkutano huo wa 12 wa Viongozi wakuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki umehudhuriwa na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya
ambae ndie Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni pamoja na Mwenyeji wa Mkutano huo Rais wa Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Wengine ni Makamu wa kwanza wa Rais wa
Burundi Bwana Bazombasa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi aliyemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dr. Ali Mohd Sheni pamoja na Waziri Mkuu wa Rwanda Bwana
Pierre Damieni Habumuryemi.
.jpg)

Post a Comment