AISHA BUI AJIFUNGUA
STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike
aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa
katika jambo hilo.
mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma.
“Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha
sana kuitwa mama,” alisema Aisha na kuongeza kuwa, mwanaume aliyezaa naye ni
mchumba wake wa siku nyingi ambaye anaishi nje ya nchi na wanatarajia kufunga ndoa siku si nyingi.
Staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaaliamtoto wa kike aliyempa jina la Saloma.

Post a Comment