RAY: SINA MPANGO WA KUMUOA CHUCHU
Makubwa! Kaka mkubwa kunako gemu la filamu za Kibongo, Vincent Kigosi
‘Ray The Greatest’ amefunguka kuwa hana mpango wa kumuoa mwanadada
Chuchu Hans kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.
“Sina mpango wa kuoa ndugu yangu, hayo ni maneno ya watu ambayo yapo tu mitaani ila kwa sasa niko njiani naenda gym baadaye nitakutafuta tuongee.” alisema Ray.
Vincent Kigosi ‘Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi.
Akijibu swali aliloulizwa na wanahabari wetu hivi karibuni, kuhusiana
na kudaiwa kuwa baada ya mpenzi wake huyo kupewa talaka ana mpango wa
kufunga naye ndoa kama ilivyokuwa inadaiwa ambapo alikataa katakata
suala la yeye kufunga ndoa na Chuchu.“Sina mpango wa kuoa ndugu yangu, hayo ni maneno ya watu ambayo yapo tu mitaani ila kwa sasa niko njiani naenda gym baadaye nitakutafuta tuongee.” alisema Ray.
Staa mkubwa kunako gemu la filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa muigizaji
huyo kufunguka kuhusiana na suala la ndoa na swali linakuja, je, Chuchu
anafahamu kuwa anachezewa tu? Jibu analo mwenyewe moyoni mwake.

Ray na Chuchu katika pozi la mahaba.
Post a Comment