ad

ad

LINAH: SIJAWAHI KUSAGANA WALA KUMTAMANI MWANAMKE MWENZANGU


STAA wa muziki wa kizazi kipya, Estalina Sanga 'Linah' akifunguka ndani ya GLOBAL TV ONLINE kuhusu mambo mbalimbali yakiwemo haya:

-Mahusiano yake na msanii Amin

-Skendo za usagaji,

-Bifu lake na Lady Jaydee

-Amejifunza nini kutoka kwa msanii Ray C

-Nini kinaendelea kati yake na Mchungaji Gwajima?

-Mafanikio yake kimuziki

UNGANA NASI NDANI YA GLOBAL TV…

No comments

Powered by Blogger.