OKWI KUTUA LEO SAA 9:30
Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi
anatarajiwa kutua leo mchana majira ya saa 9:30 katika uwanja wa ndege
wa Mwalimu JK Nyererer akitokea nchini Uganda kwa shirika la ndege la
Rwanda.
Hii ni taarifa rasmi kwa wapenzi wa soka, wanacham na mashabiki kuwa rasmi mchezaji huyo atawasili leo na kupokelewa na viongozi wa klabu ya Yanga pamoja na mashabiki na wanachama kwa ujumla.
Ujio wa Emmanuel Okwi leo unafuatia kukamilisha masuala yake yaliyokuwa yamembakisha nchini Uganda na moja kwa moja leo ataungana na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa jumamosi dhidi ya Simba SC katika Nani Mtani Jembe.

.jpg)
Post a Comment