ad

ad

NDOA YA KEYSHIA COLE CHALI

New York,Marekani
SIKU chache baada ya mume wa mwanamuziki mahiri, Keyshia Cole, Daniel Gibson kukumbwa naskandali kubwa la kukutwa kwenye klabu maarufu ya.machangudoa, Club V akifanya mambo ya kifuska na kuhonga kiwango kikubwa cha fedha za familia, taarifa zimevuja kwamba ndoa ya wawili hao imevunjika rasmi.
 
Kwa mujibu wa watu wa karibu wa familia hiyo, Keyshia alichoshwa
na tabia za mumewe za kucheza kamari, kuhonga fedha za familia kwa wacheza uchi na kufanya nao ngono pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya.
 
“Nimemvumilia sana Danny nikitegemea atabadilika lakini nadhani hawezi tena kubadilika, mimi ni msanii na kioo cha jamii, siwezi kuwa nachafuka kila siku kwa sababu ya vituko vyake,” alinukuliwa Keyshia wakati akihojiwa na mtandao mmoja maarufu.
Powered by Blogger.