ad

ad

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWAHUTUBIA WANASONGEA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sokoni Bombambili mjini Songea jana wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Ruvuma, akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki shughuli za maendeleo na kuhimiza uhai wa chama.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wakazi wa mjini Songea jana kwenye viwanja vya Sokoni Bombambili jana.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Bw. Oddo Mwisho akizungumza na wakazi wa Songea jana.
Mmoja wa wasanii akitumbuiza wananchi katika mkutano huo.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo siku ya jana.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo siku ya jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa vyuo elimu ya juu vya mjini Songea na walimu katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha ushirika na biashara.Kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Mmoja wa wanafunzi akitoa kero za wanafunzi hao kwa niaba ya wenzake katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisistiza jambo katika mkutano huo.
Dr.Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akiwasalimia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Biashara na Ushirika mjini Songea jana.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA)
Powered by Blogger.