ad

ad

BAHATI BUKUKU AFIWA NA BABA YAKE MDOGO



Bahati Bukuku.
MSIBA mkubwa umeikumba familia ya msanii wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku amefiwa na baba yake mdogo Lwagha Amen Bukuku kafariki dunia leo saa 3 asubuhi hospital ya Kadinali Ukonga baada kuugua kwa muda mrefu jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Bahati Bukuku Tabata Kisukulu utaratibu wa Mazishi ni siku ya Alhamis makaburi ya Sinza.
Powered by Blogger.