MESSI AJIBU HAT TRICK YA RONALDO, BARCA IKIITANDIKA 4-0 AJAX.
Lionel
Messi amejibu mapigo ya mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid
baada ya kuifungia hat-trick Barcelona katika ushindi wa 4-0 dhidi ya
Ajax katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya, Uwanja wa Nou
Camp.
Muargentina huyo pamoja na kufunga mabao matatu peke yake usiku, pia alitengeneza bao la nne lililofungwa na Gerard Pique.
Haikuwa bahati yao, Ajax kwani walikosa hadi penalti baada ya kipa Victor Valdes kuokoa mkwaju wa Kolbeinn Sigthorsson.
Messi alifunga mabao yake katika dakika za 22, 55 na 75, wakati Pique alifunga dakika ya 69.
Kikosi
cha Barcelona kilikuwa: Valdes, Alves, Pique/Bartra dk80, Mascherano,
Adriano, Busquets, Fabregas/Xavi dk72, Iniesta, Sanchez, Messi, Neymar
/Pedro dk72.
Ajax:
Vermeer, van Rhijn, Denswil, Moisander/van der Hoorn dk73, Blind/Schone
dk78, Poulsen, de Jong/Serero dk59, Duarte, Bojan, Sigthorsson na
Boilesen.
Precision: Messi bends in a long-range free-kick for his first goal of the evening
Number two: Messi slots his second goal past the helpless Vermeer
Easy: Messi dribbles past defender Stefano Denswil
All smiles: Messi celebrates his opener with defener Dani Alves
Battle: Sergio Busquets shields the ball from Ajax's Siem de Jong (left) and Lerin Duarte
Wasted opportunity: Kolbeinn Sigthorsson takes an unsuccessful penalty against Victor Valdes
Challenge: Alexis Sanchez tackles Ajax's Daley Blind at the Camp Nou
Tussle: Barcelona defender Adriano attempts to block Ajax's Ricardo van Rhijn
Heads up: Pique rises highest to score Barcelona's third goal
Frustration: Neymar grimaces after missing an opportunity to score
Old friends: Javier Mascherano challenges loanee Bojan Krkic for the ball
On form: Barca celebrate three points at the Camp Nou

Post a Comment