ad

ad

USHAHIDI WA PICHA MSANII ANAYEJUA KUVAA PAMBA KALI NA KUWAFUNIKA WOTE BONGO HII HUYU HAPA


 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.
                                          Habari na Habari Mpasuko Blog
Powered by Blogger.