ad

ad

ULINZI MKALI MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MFAWIDHI WILAYA YA IRINGA JIONI SIKU YA JANA.

 Askari  wa FFU  wakiendelea  kulinda  eneo la mahakama ya  wilaya ya Iringa  jioni ya jana  huku watuhumiwa  wakiwa bado kutoka mahakamani
                                                         Ulinzi  mkali kweli kweli
 Karani  wa mahakama  Bi , Grace  akiita majina ya  wadhamini mahakamani hapo
 Pamoja na kesi hiyo  kuvuta  watu  wengi bado shughuli za mahakama  ziliendelea kama kawaida  pichani na hakimu  wa mahakama ya mwanzo bomani Mh. Alois Masua  akiendelea  kuwajibika kwa  wengine
 Wakuu  wa  FFU mkoa  wa Iringa  wakiwa kikazi zaidi nje ya mahakama hiyo  jioni ya jana katikati ni mkuu  wa FFU Bw Said Abdalah  Mnunka ambae amesababisha amani  na utulivu katika mji  wa Iringa
Powered by Blogger.