ad

ad

NI SIMANZI,VILIO NA MAJONZI MAZISHI YA WALIOKUFA KWA BOMU ARUSHA,PICHA HIZI HAPA



Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013. mazishi yaliyofanyika leo 

 Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013


Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha  
 Mapadri wakiwa wamebeba mislaba yenye majina ya marehemu wawili kati ya watatu waliofariki kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanaisa la Olasiti jijini Arusha May 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye  kanisa hilo leo 

 Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashmu Josephat  Lebulu  akinyunyuzia maji miili ya waumini wa kanisa hilo waliofariki.
Powered by Blogger.