ad

ad

IMEVUJA PICHA WAKITOMASANA,BROTHER-MEN WA CHUO KIKUU CHA UDSM NDIYE DATE NA WEMA SEPETU

Ayaa Siri Imefichuka,Check Picha ya Wema Sepetu Alivyofumaniwa Akiwa Anatomaswa Live na Huyu Mshkaji Ambaye Inasemakana Ndio Mpezi Wake Siku Hizi 

Huyu ni Raheem Mtangazaji Wa Times Fm Ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar-Es Salaam.
Raheeem Ni Mmoja wa Mabrazamen wakali Hapa Town Pia Ameshatokea Kwenye Mabango ya Tangazo la Tigo. Inasemekana Siku Hizi Etii...yeye na Dada Yetu Wema Sepetu
Ndio Wanadate.Na Wema Sepetu Ndio Haongei Kitu.Ushahidi Ni Kupitia Hii Picha ya Wema Sepetu Akiwa Chobisi Anatomaswa na Mtangazaji Huyo wa Times Fm

Ambaye ni Mwanachuo wa UDSM.
Sio Kesi Sio Deni Kesho Tutaamua Kumvutia Waya Bwana Raheem Tumsikilize
Powered by Blogger.