Aina
Ya Wachezaji Aliokuwa Nao EVERTON, Hawachezi Kupigania Ubingwa Wa EPL,
Wanacheza Kwa Ajili Ya Kupigania Nafasi 10 Za Juu Na Kuwawekea Vikwazo
Timu Ambazo Zinacheza Kupigania Ubingwa Wa EPL, Yaani Ubingwa Wao Ni
Kuwafunga MAN U, MAN CITY, CHELSEA, ARSENAL.. Kwa Maana Hiyo Ilikuwa
Vigumu Kuchukua Kombe Lolote Hata Kama Angekaa Miaka 30, Ila Aliakikisha
Timu Inashika Nafasi 10 Za Juu.
Amebadilisha Mazingira, Sasa
Anawakuta Wachezaji Ambao Wapo Tofauti Na Wale Anaowaacha EVERTON,
Anawakuta Wachezaji Wenye Uchu, Tamaa, Fikra, Mawazo Na Nguvu Ya
Kuchukua Ubingwa, Na Timu Yenye Uwezo Wa Kumletea Mchezaji Yoyote Atakae
Muhitaji.
Ana Miaka 11 Ndani Ya Evertoni Na Aina Ya Wachezaji Alio Nao Hajachukua Kombe Lolote,
Sasa Ana Miaka 6 Ndani Ya OLD TRAFOLD Na Aina Ya Wachezaji Atakao Wakuta, Sidhani Wala Sifikirii Kama Miaka 6 Itapita Patupu..
Nategemea Mengi Mazuri Toka Kwake.
DAVID MOYES Waoneshe Kuwa Hawajakosea Kukuweka Kuwa Mrithi Wa sir SAF.
Post a Comment