ad

ad

Wimbo mpya wa ALLY NIPISHE... MY ALL.

ALLY NIPISHE
Si mwingine anaitwa Ally Nipishe sauti,style ya uimbaji vinamfanya kuwa mmoja kati ya waimbaji wanaopaswa kutazamwa  kwa macho yote mawili.Huu ni wimbo wake mpya ambao naamini ni moja kati ya nyimbo kali. Sikiliza wimbo wa My All hapa chini.
Powered by Blogger.