ROSE NDAUKA AWATEGA MADENTI
STAA mwenye mvuto wa kipekee kwenye ‘industry’ ya filamu Bongo, Rose
Ndauka hivi karibuni alitinga kivazi kifupi ambacho kiliwachengua
madenti wa Chuo cha Uandishi wa
Habari Dar es Salaam (DSJ) ambao
walibaki kumkodolea macho mwanzo mwisho.
Mpango
mzima ulitokea Aprili 13, mwaka huu katika Ufukwe wa Belinda, jijini
Dar wakati mwanadafada huyo alipokuwa amealikwa katika sherehe za
kuwakaribisha wanafunzi wapya wa chuo hicho.
Kutokana na kivazi hicho
alichokivaa na mvuto alionao staa huyo, baadhi ya madenti wakware
walionekana wakipoteza usikivu wa hotuba ya mgeni rasmi na kubaki
kumtazama.
“Mh! Rose ni mzuri jamani uongo dhambi, nilikuwa nikimuona katika runinga leo nimemuona live daaah!” alisikika denti mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake.
“Mh! Rose ni mzuri jamani uongo dhambi, nilikuwa nikimuona katika runinga leo nimemuona live daaah!” alisikika denti mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake.

Post a Comment