BREAKING NEWZ!! NDEGE YAANGUKA ARUSHA NA KUUA JIONI YA LEO.
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba ndege iliyokuwa inamilikiwa na Wakili maarufu Marehemu Nyaga Mawala aliyefariki wiki 3 zilizopita na kuzikwa huko Nairobi imeanguka ikiwa katika hatua za mwisho za kutua (final approach) katika kiwanja cha ndege cha Arusha.
Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani peke yake
anayejulikana kwa jina la Jamal B S, au maarufu kama Bob Sambeke
aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro.
Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba
ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga
kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.
UPDATE:
Post a Comment